Bifu la Clouds FM na Sugu laisha rasmi, Clouds yaupiga wimbo wa Freedom

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
539
Reaction score
644
Leo kwa mara ya kwanza nimeshuhudia wimbo wa Sugu, Freedom ikipigwa kwenye TV ya Clouds kuashiria kumalizika kwa bifu kati ya wawili hao.

Kweli wanaume hawanuniani bali husameheana.
 
afadhali aisee, na sasa ni zamu ya diamond kumaliza bifu na wana mbeya, naskia huwa hafiki kule pamoja na vibe kali wanayoonesha wanambeya kwnye shoo mbalimbali.
 
Bifu limeisha lkn wasanii wengine waliokua na sugu wanaumia..km vipi bora nao wamalize tofauti zao na clouds ..MTU km adili ni mkali sana lkn kapotea
 
Mbna anaenda mbeya kyela kuzindua beach ya ngonga mwezi ujao wa saba
Matangazo ya yeye kwenda kupga kazi mbeya huwa yanawekwa kila mara ili kuvuta watazamaji na wahudhuriaji tu bt he never showed his presence at all.
 
....mwenzio ameshaitwa mpaka kwenye interviews hapo cloudz,vurugu ziliisha siku nyingi.
Nilimuona clouds TV kipindi cha asubuhi, Asante kwa kukumbuka na wewe nilikuja na wazo hilo hilo sema tu umenitangulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…