Bifu la davido na wizkid limeisha, Ally.K na diamond lini?

Bifu la davido na wizkid limeisha, Ally.K na diamond lini?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
wikidav.png

Ni ugomvi uliodumu kwa muda mrefu kati ya hawa wasanii wadogo wa nigeria tangu nyuma walipoanza kazi zao za usanii.

awali wawili hao walikutwa wakiwa na furaha tele kwenye birthday ya kaka yake davido, kitu kilichowapush waandishi kupata akshi ya kujua nini kinaendelea.

Davido alidai tofauti zao zimekwisha na watu waliweka suluhisho ni watu wenye pesa zao wa nchi hiyo, hakutaka kuwataja majina ila tu ni kwamba kuna kikao kiliandaliwa na matajiri hao chenye nia ya kuondoa ofauti kati ya davido na wiz-kid, pia davido alinukuliwa akisema uwezekano wa collabo na wiz-kid yawezekana ukawepo.

Tukija huku Tz kumekua bado kuna hali ya utata hasa kati ya Diamond na Ally .k na hakuna tetesi zozote zinazosikika ikiwa kama kuna mpango wa kuondoa tofauti kati yao
 
Hawa wamepatana kiusoni tu, yani kama leo eti diamond na bob juniour wapatane.....watakua wanachekeana usoni tu
 
Diamond na Kiba hawana bifu hata kidogo. Kuna watu wako behind this na wananufaika! Wanaobaki ni bendera fuata upepo! Wabasukumwa na ushabiki na chuki za kutopenda mafanikio ya wengine. Na hili ndo linaloturudisha nyuma!
 
Mbona nasib hana bifu na mtu? Ally alijibifusha mwenyewe.Kusema kiti changu nakifuta tu vumbi wat iz ze mining. Kumbe alkua hajui viti viko vingi.
 
Back
Top Bottom