Bifu la Diamond na Ommy Dimpoz nani ameonesha ukomavu na ustaarabu?

Bifu la Diamond na Ommy Dimpoz nani ameonesha ukomavu na ustaarabu?

Nani kamfunika mwenzake kupitia interview walizofanya?


  • Total voters
    9
  • Poll closed .

Bome-e

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
17,179
Reaction score
26,188
Kama shabiki wa muziki, weka chaguo lako ili tuone ni nani kaibuka kidedea kwenye hili bifu lililoibuka kwa kasi majuzi mara baada ya ngoma za "kajiandae" na "kokoro" kuachiwa.
 
Angalau Dimpoz kwenda kwenda ulaya kumemsaidia hana ushamba na uswahili.sasa uyu mwingine daaa
 
Hizo kura ndio zimesababisha tumpate anayetusomesha namba buree hadi form four
 
Dimpoz hekima zimemjaa hadi akasababisha team mondi watokwe povu kama wamemeza foma gold.
 
Back
Top Bottom