Bifu la Eminem na Snoop Dogg

kweli kabisa
 
Eminem alihitaji kubalance tu, hakuwa serious iiiiiile... snoop ndo alikuja serious sasa
 
Ninachompendea Eminem mbali ya uimbaji wake ni mtu slasiyependa ubaguzi na anapenda ngozi nyeusi pia. Ila kwenye list zao wote wawili wamemwacha Method Man wamezingua!
 
Eti Eminem kolo!!!
Walimwengu bhana!

Inawezekana kabisa nasumbuliwa na kaubaguzi ka rangi mkuu

Binafsi naamini Rap ni mziki wa weusi
Sasa haka kajamaa kamepata kukubalika kiaina na weusi ukija kujumlisha na weupe wenzie kanajikuta kana platform kubwa mnnoo tofauti na mtu kama Snoopy anayekubalika zaidi na majority ya weusi

Siwezi kupinga kwamba hakana mafanikio, yapo makubwa mmno album kanauza balaa na matamasha kanajaza balaa
Ila ukweli ni kwamba kanabebwa zaidi na upande wa pili wa weupe wenzie ingawaje hata weusi mnamkubali
 
Kwa hiyo tufanyeje sasa, wanatuhusu nini hawa?
 
pasipo hao akina snoop ,dre ,tupac ,notorious big ,ice cube coolio nisingejua mziki wa rap wa marekani enzi za miaka ya 90 sikumsikia huyo zeruzeru eminem
Ni mzungu sio zeruzeru
Ukali wa mtu unathibitishwa na watu wanavyonunua kazi yako, Kama ulikuwa humjui ni kutokana na ushamba wako

Eminem ndio best selling rap artist of all the time with more than 225 million units sold
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…