YeahEminem ni pure talent ile, sio uzungu, mbona kuna rappers wengi wazungu ambao hawajafikia hata robo ya mafanikio yake? wao kwa nini wasibebwe?
Kasikilize collabo za Eminem na rappers weusi ndio utaona anavyowaua, mf no love akiwa na Lil Wayne
Method yeye kama yeye ..anaimba laini sanaKwani Method Man si anatokea Wutang Clan!?[emoji848]
Mkuu method man anarap laini sana ..kuna ngumu ukiskiza unaeza ota usiku mkuu.Nimeona nikae kimya tu mzee, hauwezi m diss Method Man halaf ukawasifia Wu Tang, sijui ndio unakuwa unafanya nini.. Yaan Method Man umlinganishe na Rick Ross ha ha dah
Wayne anafanya hiphop trap ambayo anaeza fanya ngoma na msanii yeyote yule. Style take ni ya kipekeeUsichanganye hip hop na takataka anazokoroma lil,
Wewe kasome story zakina juma lukoleKwa hiyo tufanyeje sasa, wanatuhusu nini hawa?
Ndiyo nani hawa?Wewe kasome story zakina juma lukole