mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
job is available
Wala hakumtaja sepetu ni nyie timu Wema mnatafuta kiki tu...
Angalia clip vizuri ni wapi Harmonize kamtaja Wema?!
Mimi sitaki kujua maana sina timu kati yao lakini kwa jinsi ninavyoona huyu dogo anatafuta kiki kupita kwa huyu mdada wema...huyu dada ana mapungufu yake kama binadamu hila jamaa jinsi inavyohisi anatafuta umaarufu by any cost
Kaishia kama?!!!!!.......hiyo Sepetu hakusemasista duu usitoe mimba ukaja kulia kama Sepetu - Harmonize
Kaishia kama?!!!!!.......hiyo Sepetu hakusema
Ndio yale ya jide.....kakojozwa mwingine yeye ka mind
Ray mond ni nanihuyu Harmonise ni kidomo domo mno hana tabia za kiume mbona mwenzie Raymond hana maneno ya kishangingi kama yeye?!