Bifu la Lady Jaydee na Madam Ritha wa BSS

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Katika kusheherekea sikuuu ya mwanamke Duniani, Mwanamuziki mwenye hadhi ya kipekee bongo, Judith wambura mbibo maarufu kama Lady jaydee ame share story yake fupi kuhusu bifu lililowahi kutokea miaka ya nyuma kati yake na Mkurugenzi wa Benchmark Production Madam Ritha.

Akitiririka kwenye ukurusa wake wa Instagram, staa huyo ambaye hana mpinzani ndani ya Bongo Fleva, alikiri kutofautiana na mwanamama huyo, baada ya madam ritha kumpaka make up lady Jaydee ambapo Jide alikuwa akiifuta hali iliyompelekea Madam kumgombeza hali iliyozua tafrani kwa mwanamuziki huyo, na kusababisha ugomvi ambapo bifu hilo lilidumu kwa mda Wa miaka mitano bila mastaa hao kuongeleshana wala kusalimiana.

Hata hivyo staa huyo amekiri kumaliza tofauti yake na mwanamama huyo kwa kudai ulikuwa ni utoto na sasa hivi bifu kati yao limeisha.

Source: Lady Jaydee

Written by warumi
 

Attachments

  • 1425853760987.jpg
    60.1 KB · Views: 3,107
Mnaleta siasa mpaka mwenye mziki...unavyosema hana mpinzani tu....nikajua wewe kambi jaydee....hatuendi hivyo...alafu ushabiki haufai......
 
Mambo ya ma beef tupa kule... nasubiri siku atakayopatana na Ruge na Kusaga lol maanavlife is too short kuishi na chuki na visasi.

Si nasikia ameshahukumiwa? Sema ndo wanaficha sijui kapewa adhabu gani maana bibie bado anapeta tu mitaani
 
Bifu limeisha umetuleteaje hii habari?au unataka kulifufua?

Kulifufuaje? Au unaona raha kujiandikia tu? Nimeandika kwa sababu ni kitu ambacho watu wengi hawajui kama walikuwa na bifu...
 
Madam B uko WAP? Njoo nikupe umbea Wa mange jaman ebu wahi popote ulipo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…