Bifu la Lady Jaydee na Madam Ritha wa BSS

Mwanamke mkorofi huyu jaman, yani mtu kukugombeza ndo umnunie miaka mitano? Jide anahitaji maombi kwa kweli, japokuwa namkubali sana

Ah ha hA ha ha anhitaj maombi kabisa inaelekea bifu ugomv kwake ndo pao
 
nmmmh jide ana bifu na kila mtu, huyu mwanamke hafai kabisaaa
 
Mwanamke mkorofi huyu jaman, yani mtu kukugombeza ndo umnunie miaka mitano? Jide anahitaji maombi kwa kweli, japokuwa namkubali sana

mkorofi hadi namwogopa, vinyongo visivyo na kichwa, ndo maana anazeeka mapema
 
Was that serious as you are explaining????? Mbona kama Unaongeza chumvi ?????
 
Tuekee umbea wa chagga baby kupewa kurushwa na kupewa zawadi na rich gang wa UG
 
hahaaaaaaaaaaaaa haliishi leo wala kesho LOL

Mbona mgumu sana wewe! Km kwa simu hunieliwi na apologies zng, basi ntakuandikia barua kwa kutumia zile special love writing pad, hv unazikumbuka zile karatasi?
 
mmmmmh Jide nae na mabifu khaaaa, vingine awe anapotezea bhana!

Bte, namkubali ile mbayaaa yaani, ana kichwa kizuri sana.
 
mmmmmh Jide nae na mabifu khaaaa, vingine awe anapotezea bhana!

Bte, namkubali ile mbayaaa yaani, ana kichwa kizuri sana.

Kuchuniana na mtu miaka mitano kisa kakugombeza? Mmh huyu cheusi dawa nae sio bure ana mashetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…