Bifu la Lady Jaydee na Madam Ritha wa BSS

Kuchuniana na mtu miaka mitano kisa kakugombeza? Mmh huyu cheusi dawa nae sio bure ana mashetani

Ajirekebishe kwakweli despite the fact that nobody is perfect.
Ni kweli pengine anakosewa lakini si lazima akomae na kila bifu/misunderstanding.
 
Ila jide aokoke, na atoe ushuhuda wake.
 
Kulifufuaje? Au unaona raha kujiandikia tu? Nimeandika kwa sababu ni kitu ambacho watu wengi hawajui kama walikuwa na bifu...
Sasa mm na ww nani anaona raha kujiandikia tu?walikuambia kama hawajui?ulianza kujiandikia tu nami nikajiandikia tu, so bora uwe mpole tu
 
Kulifufuaje? Au unaona raha kujiandikia tu? Nimeandika kwa sababu ni kitu ambacho watu wengi hawajui kama walikuwa na bifu...
Na kubwa zaidi ni kwamba, wale waliokuwa wanajua kuhusu hili bifu walikuwa hawajui kwamba lishaisha!
 
Huyu dem ana matatizo ya kisaikolojia na kizazi kinachangia.. haiwezekani kila mtu ugombane naye kisa kakukwazwa. Mbona kila siku huku kitaa watu tunavurugana na jamaa zetu na hatusemi wala kuanzisha bifu za kijinga?

Ndo maana hata siku ya wanawake kapotezewa na wanawake wenzie pale Mlimani City akaishia kupost vi-picha vya kujifariji instagram akiwa hotelini.
 
Mambo ya ma beef tupa kule... nasubiri siku atakayopatana na Ruge na Kusaga lol maanavlife is too short kuishi na chuki na visasi.

I wish pia..ila sioni dalili..coz sioni mtu anayetaka kujishusha kati yao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…