Bifu la Lulu, Hamisa: Mange amlipua Majizo


nenda kamchokoze na wewe upewe za uso kama hujafululiza breed kuliko kutujazia gazeti la RAI hapa !
 
Hata mimi mwanzon niliku namchukia sana mange, ila endelea kumfuatilia tu kwa karibu baadae utamuelewa....Mange huwa hasemagi uongo ila tu ni mropokaji, endelea kumfuatilia tu utaelewa ninachokwambia
Dick riding katika ubora wake!Hasemi uongo ye Mungu.!?!?
 
Kwa pesa yako halali huwezi kuwa na urafiki wa mapenzi au kuoa hao mabinti. Lazima uwe na pesa haramu na hapo ndipo pa kutakatishia.
 


Nyie ndo wauza unga tunaowatafuta.....Af nyi ndo wale wale akikosolewa JPM anadhalilishwa....Endelea kumuabudu tu raisi wako, but mkosoe mange kwa facts na sio kulia lia tu apa
 
Nimejaribu kuacha umbea nimeshindwa warumi mimi, nimerudi rasmi kwenye kiti changu tukufu
Ahaha kuna title nikiziona tu najua warumi kashafanya yake kabla sijafungua uzi. Uko vizuri mkuu kwenye ubuyu.
 
Hilo bifu limeshawaingiza na wengine, le akili kubwaziiii le mubebizi na yy aliingilia ikala kwake, Mange aisee hapana ,maana nmecheka mbavu sina
 
Tatizo la kufikiria ukiolewa na mzungu basi ushayapatia maisha ndio linamtesa Mange baada ya mambo kuwa vice versa. Pia alifikiri ukiwa state ndio kufanikiwa sasa mtu kutusua akiwa bongo uwa inawatesa sana wabeba box.
 
Hata mimi mwanzon niliku namchukia sana mange, ila endelea kumfuatilia tu kwa karibu baadae utamuelewa....Mange huwa hasemagi uongo ila tu ni mropokaji, endelea kumfuatilia tu utaelewa ninachokwambia

Ni kweli kabisaaaa na wengi wanaomchukia...amewajeruhi...in one way kwa kuongea ukweli.
 

Ndefu mnooo nakushaur anzisha uzi.
 
Kwa nini awaseme nyie tu alafu mnatumia nguvu nyingi sana kukanusha tatizo lipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…