Bifu la Mondi na Harmonize linammaliza Ali Kiba

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Mondi alikimbia sana badae kugeuka nyuma anakuta haoni mwanariadha mwenzie kukawa hamna namna bali kumuua Alikiba kwa kumtengeneza adui wa kuzuga Harmoniser lakini mwisho wa siku nia ni kuteka soko lote Hivi kampuni za mtu mmoja zaweza gombana ? amkeni ! amkeni !

Ila hakuna mashabiki wenye roho mbaya kama wa Mondi yanii wanachoche kuhuso bifu na harmoniser na kuua focus kwa alikiba na aslay
 
Yani mtu akisitisha mkataba na kampuni yake ya awali ndiyo anakuwa ana beef na mwenye kampuni husika??

Kwa sasa Maulidi kitenge ana beef na Majizo?
 
yani mtu akisitisha mkataba na kampuni yake ya awali ndiyo anakuwa ana beef na mwenye kampuni husika??

Kwa sasa Maulidi kitenge ana beef na Majizo??
Hujanielewa maana yangu zote clouds na wasafi ni za mmoja (kusaga) ,na mondi hana bifu na harmoniser bali mashabiki wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…