sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Hii bifu ilikuwa ya chini chini ila sasa inaenda kuwa kubwa sana baada ya Hamo kwenda kumfungulia Rayvanny kesi polisi.
Hii scandal inayoendelea ni zuga tu ila watu wana bifu zao za kitambo.
Chanzo cha bifu ni mzungu, mzungu alimshobokea Vanny Boy na chui hakupepesa macho akampelekea moto shida ndio ilianzia hapo.
Kingine kinachomuuma Hamo ni ile kudhani atakuwa msanii no 2 akijitenga na Wasafi badala yake kwa sasa msanii namba mbili kwa kupiga pesa mtandaoni ni Rayvanny na no3 ni Kiba. Hili linamuumiza sana Hamo kuona expectations zake hazijaenda anavyotaka maana alienda mpaka kuomba ubalozi wa bei rahisi akidhani ndio itakuwa strategy ya kujenga brand matokeo yake brand imezidi kuwa ndogo ameshindwa mpaka kuzijaza club ikabidi acancel tour ya clubs.
Sasa naona kajigeuza Pfunk Majani, yeye ndio kaenda kufungua kesi na ndio ameisukuma hii ishu mpaka kuwa kubwa, wanaojua wanajua lile gazeti la Kajala linafanana na la leo. Inawezekana Ray kakosea ila tunajiuliza huu uchungu kwa Paula huyu mmakonde kautoa wapi?
Alimchonganisha Mavoko mpaka akagombana na Diamond sababu amezoea maisha ya kinafki, uchonganishi na fitna za kusini.
We all know Chui ni mtu poa sana, huwa hanaga shida na mtu na atavuka fresh huu mtihani ila mmakonde tutaenda sawa aina shida.