Bifu la uwoya na Flora mvungi kupitia XXL ya B12.

Duuuuuuu......... Sasa Flora yeye si karidhika? Irene analia nini?
 
du! Kichwa kinauma... Uwoya H.baba hajui mapenzi.....H.baba Uwoya amezoa kuliwa kiboga na kuchoropoa mimba.....shabiki ?????????
 
H Baba mwenyewe anaewaumiza kichwa mpolipoli kichizi...kuvaa kwenyewe anavaa kama bitoz Nyangema......yani hadi leo hii bado anavaa supra msukuma yule,kweli msukuma msukume aludi kwao mwanza!!!
 
kwa Lugha ya kimjinimjini tunasema Uwoya ana kizibo cha Konyagi na si cha Soda
 
ah ah si nilisoma kwe makorokocho h baba kamalizia kuwa uwoya amezoea kuliwa kiboga ndo maana alimuacha?

mkuu umeniacha kidogo hapo kiboga maana yake nini? maana nimecheki hata kwenye kamusi halipo hili neno.
 
Mfa maji haishi kutapatapa...... Uwoya hebu tulia dada, kaa chini fikiri wapi ulipoanguka, rudi kwa mmeo acha kuangaika, muda unakutupa mkono... itafika kipindi hata wa kukusalimia hataonekana.
 
Bado sijaona supastaa bongo!! Kwakweli pesa yao bado ndogo sana
 
Kweli elimu ni muhimu sana
 
hahahaha bado wacha watupe umbea wao watatuambia mpaka naniliu ya nani imepinda
 
Mfa maji haishi kutapatapa...... Uwoya hebu tulia dada, kaa chini fikiri wapi ulipoanguka, rudi kwa mmeo acha kuangaika, muda unakutupa mkono... itafika kipindi hata wa kukusalimia hataonekana.

hongera bidada umemshauri vema huyo
 
Mkuu kwani uyu Irine aliachika??
 
Wana shida sana hawa wasanii wetu...flora akuwa na haja ya kujibizana na irene juu ya mmewe...amwache tu...
 
wanatakiwa wajifunze namna ya kuzungumza kwenye media cuz vitu wanavyoongea haviendani kabisa na hadhi zao,pia wao hujiita kioo cha jamii,sasa sijui hiyo jamii itajifunza nini kutoka kwao,hizi ni simanzi tu kwa wazazi wao jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…