mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Zipo sidanganyi kacheki mwenyewe zimemixBaba lete screenshots za hizo negative comments nione
Yah ni kweli hii nyimbo c ya kiwango, na nadhani alitaka ibebwe na video, upo sahihi, kuhusu mashabiki ni kweli Kuna kamgawanyiko kametokea baada ya bifNyimbo sio nzuri kwa upande wangu,yaani kama kuna uwezo nyimbo ambayo alitakiwa kuifanyia video ni ile ya Mama-ft Saida Karoli ni bonge moja la nyimbo.
Hizo comments ni kawada tu,halafu kuhusu kumshusha kwa kuangalia comments unajidanganya tu,baada ya Diamond msanii anayefanya vizuri kwenye digital platforms zote ni Rayvanny,juzi Nyimbo yake ya Senorita imekuwa streams mara 1m Spotify ndani ya miezi mitatu.
Huo wimbo ni pesa, viewers wake watatoka nchi zenye viewers wenye nguvu eg france belgium. Its business na wimbo pia ni mkali.Yah ni kweli hii nyimbo c ya kiwango, na nadhani alitaka ibebwe na video, upo sahihi, kuhusu mashabiki ni kweli Kuna kamgawanyiko kametokea baada ya bif
Wala Muungano na TOTBifu ni utoto, mbona hatukuwahi kusikia bifu kati ya Msondo na Wana Ndekule? Wala MK Group na Washirika Tanzania Stars?
Hujawahi shindwa wewe ni win winHuo wimbo ni pesa, viewers wake watatoka nchi zenye viewers wenye nguvu eg france belgium. Its business na wimbo pia ni mkali.