Bifu ya Fid Q na Joh Makini

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
4,318
Reaction score
4,105
Inasemekana hawa jamaa huwezi kuwapika chungu kimoja na haziivi kabisaaa eti kisa tu kila mmoja anajiona ni zaidi ya mwenzake.

Imekuwa ni vigumu Kwao kukubali au kukanusha hili pale wanapohojiwa hali inayoleta sintofahamu baina ya beef hili.

Mwenye kujua juu ya hili na atiririke
 
Wewe ni mwanaume wa Darisalama kwani?
 
Bila kwenda mbali jaribu kupima katika vigezo vya umri,finances ,education and exposure. Utagundua who deserves to stay on top of the stage.
Hivi vigezo haviwezi kutupatia mbora kati yao....
Nijuavyo mimi....
Umri-Fid Q
Finances- Joh
Education-Fid Q
Exposure-Both...
Haya sasa niaambie who deserve to stay on top?
 
wote nyimbo zao nyeusii ngumu nazikubari hivo hata wawe na bifu me nawakubari wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…