gambada ynwa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 390
- 371
Sasa hapo umeanza kupata akili mkuu na huyo ndo joh niliekua namjua mimi. Enzi zile za rivercamp sojaz aseee sio huyu wa sasa huyu na ndo maana hujataja wimbo wake hata mmoja wa sasa ila umetaja za way back aseee.Once u r done with Muda... do urself a favor....go for NIAJE NI VIPI.. .and after that u wipe ur ass with HAWAPENDI... damn yaa... yeeahh and it'll be wiser to showlove to ur loved ones with CHOCHOTE POPOTE.
Mkuu we ndo umefunga kazi. You have said it all. Huo ndo ukweli. Chukua tano [emoji109]Alichokifanya Fid kwenye game kitabaki kwenye kumbukumbu za hip hop ndani ya nchi hii hata kama akiacha game leo, heshima yake itakuwa pale pale na kumfananisha na yeyote ni kumkosea adabu.
Kuhusu Joh makini
Huyu ni rapa aliyeanza kitambo na kubadilika kwa kuangalia soko zaidi
Nyakati zote amekuwa juu na ku hit kila single
Amefanya mapinduzi ya kibiashara ndani ya hip hop kwa kuanza kufanya video kali
Ameanza jitihada za kuanza kuivusha nje ya mipaka hip hop ya kibongo.
Si vema kuzibeza jitihada za Joh makini hata kidogo
Na Fid bado ni mwana hip hop ambae ni alama ya hip hop ndani ya nchi hii.....hawamuwezi kwa kuandika wala kwa maono ndani ya game, huyu ni mtu anaeishi ndani ya misingi ya hip hop na ambae ameweza kutawala game mda wote pamoja na changamoto za ma mc wapya lakini ameendelea kuwepo na akitoa jiwe lazima ulitafakari ki utu uzima ndio uelewe.
umeeandika kifupi sana lakini umeeleweka vizuri sana, big upMkuu we ndo umefunga kazi. You have said it all. Huo ndo ukweli. Chukua tano [emoji109]
Kwaniii hawa wanaume wa darislam wana tatizo ganiiii?? Mbona mwaulizanaaa?? Amaaaaah!!!?Wewe ni mwanaume wa Darisalama kwani?
Mafanikio ya upande gani?Fid Q zamani hizo,sasa hivi ni zamu ya Mwamba wa Kaskazini Joh....
Fid atabaki na heshima yake tu,ila kimafanikio anakalishwa vibaya na Joh.
Headmaster sucker emcee?Fid Q ni kama headmaster na Joh Makini ni kama mwanafunzi bora
Ndiyo maana yule sijui young killer huwa namuonea huruma.Its all about flexibility, Joh na kundi zima la weusi wana mission ya KUTENGENEZA PESA, sasa Fid aendelee kuwa MGUMU till DAWN. na kama Fid Q ni role model wako ujue you are the last of your kind. Muziki wa aina hiyo haulipagi tena... unless unatuna na kusikiliza mwenyewe getto.😉😉😉😉
Huyo Young Killer mwenyewe imebidi awe marioo tu.Ndiyo maana yule sijui young killer huwa namuonea huruma.
Joh! Hata aunge USB toka kwa Computer kwenda kichwani kwake, hawezi kuandika Kama Stamina au Fid Q! Kama Leo Africa inamwelewa Diamond huku akitumia Kiswahili, Na wanafiki walisema hatutoboi sababu ya kiswahili, nadhani kosa alilofanya Fid Q Ni sawa Na alilofanya Kiba, by the way muda bado upo, Na Waafrica watawapima kwa Ubora wa Video, flowing, Na Muziki wenu kwa ujumla, kule hawatawapima kwa kigezo cha "kwa vile Joh Ni chalii ya R! home boy basi yeye Ni bora" Wao hawatajua mashairi magumu, ila watajua ipi ngumu kupitia beat, vocal Na flowing, hata Stamina anaweza kufanya Hip hop level za Africa, Ni kuwa Na vision Na kuwekeza basi, Leo video kali zinambeba msanii kuliko Audio! Joh hajafika mbali, Ana video 2 Tu International level, Fid Q akinyanyuka wanakutana kwenye Korido!Ndiyo maana yule sijui young killer huwa namuonea huruma.
Joh! Hata aunge USB toka kwa Computer kwenda kichwani kwake, hawezi kuandika Kama Stamina
Kama nimekusoma vile. Fid nilikuwa namuheshimu long way back. Lakini niliposikia mstari wa ''nipe heshima yangu au niichukue kwa nguvu'' kwenye ngoma yake ya Mwanza mwanza kama sikosei. Hapo ndipo nilianza kumdharau Fid. Mstari huo ni wa Canibus way back kwenye ngoma yake 2nd round knockout. Nikajiuliza huo ni mstari ambao naujua. Je kuna mistari mingapi ambayo siijui. Baadae nilisikia mistari yake mingine toka kwa Kanye. Ila anajitahidi na amejaliwa sauti ya Hip hop kamili.Mtu kama unasoma sana vitabu fid Q ana jipya ila kama wewe ni mvivu kusoma utasema mkali tunaandika atukopy kwenye vitabu
Kama nimekusoma vile. Fid nilikuwa namuheshimu long way back. Lakini niliposikia mstari wa ''nipe heshima yangu au niichukue kwa nguvu'' kwenye ngoma yake ya Mwanza mwanza kama sikosei. Hapo ndipo nilianza kumdharau Fid. Mstari huo ni wa Canibus way back kwenye ngoma yake 2nd round knockout. Nikajiuliza huo ni mstari ambao naujua. Je kuna mistari mingapi ambayo siijui. Baadae nilisikia mistari yake mingine toka kwa Kanye. Ila anajitahidi na amejaliwa sauti ya Hip hop kamili.
Sure. Of course kama mtu ni mfuatiliaji wa mambo, Fid utamuona ni wa kawaida sana......tena sana.Anakopy sna kuna ngoma I am professional kakopy mistali ya lily Kim kibao
Joh! Hata aunge USB toka kwa Computer kwenda kichwani kwake, hawezi kuandika Kama Stamina au Fid Q! Kama Leo Africa inamwelewa Diamond huku akitumia Kiswahili, Na wanafiki walisema hatutoboi sababu ya kiswahili, nadhani kosa alilofanya Fid Q Ni sawa Na alilofanya Kiba, by the way muda bado upo, Na Waafrica watawapima kwa Ubora wa Video, flowing, Na Muziki wenu kwa ujumla, kule hawatawapima kwa kigezo cha "kwa vile Joh Ni chalii ya R! home boy basi yeye Ni bora" Wao hawatajua mashairi magumu, ila watajua ipi ngumu kupitia beat, vocal Na flowing, hata Stamina anaweza kufanya Hip hop level za Africa, Ni kuwa Na vision Na kuwekeza basi, Leo video kali zinambeba msanii kuliko Audio! Joh hajafika mbali, Ana video 2 Tu International level, Fid Q akinyanyuka wanakutana kwenye Korido!
Joh anacopy nyimbo za kina lily wyney za majuu na kuzibadilisha kwa kiswahili.hana jipya lolote.kwa kuwa wabongo hamsikilizi nyimbo za nje mnaona ni idea yake.Fid Q zamani hizo,sasa hivi ni zamu ya Mwamba wa Kaskazini Joh....
Fid atabaki na heshima yake tu,ila kimafanikio anakalishwa vibaya na Joh.