Bifu ya Nikki Mbishi na P the MC

Vien

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2020
Posts
6,585
Reaction score
10,363
Wakuu habari zenu,

Kuna beef mpya Kati ya Nikki Mbishi na P the MC, bado sijajua chanzo hasa. Ila nimeona Twitter wakipeana madongo na Kuna Track P the MC kaachia inaitwa ‘Futi Sita’ akimdiss Nikki mbishi

By the way P amemchana sana Nikki nasubiria comeback ya Nikki Mbishi


One love
 
Nikki mbishi anabeef na mtu yoyote tu.

By the way beef hii nimeipenda watu wanaingia studio hawaishii kusutana twitter.
Beef za biashara kwenye mkito, booomplay, you tube nk ndiyo zinatakiwa.
Nikweli mkuu huyu nikki karibia kila mtamaduni pale kaishawahi kuzinguana naye

Alishawahi kua na bifu na godzilla japo godzila naye alikua mtata kama yeye hasa katika ile bifu yake na wakazi. Miezi kadhaa iliyopita nikki alikorofishana na wakazi ila washapatana
 
Hip hop ni michano since day one, kabla hata taarab ya kwanza haijarekodiwa.
 
Kwenye hii bifu nikkimbish kachukuliwa negatively coz ndo kawaida yake japo p the mc kamnyoosha ukchanganya na huruma yamashabiki ndokabisa yaaan ongeza now nawakazi kama kajiinclude ndan hapo bifu imekolea zaid
 
Tulimiss sana vitu km hivi.. nataman sana hii bifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…