Bifu ya Nikki Mbishi na P the MC

Je hao jamaa ni ma-underground?

Ndio nasikia habari zao leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hip hop mziki wa watu makini itakuwepo wewe ndiyo underground
Kaka/dada nimeuliza tu kwa sababu kweli siwajui hao jamaa.

Ukinijuza kwa usahihi nitawajua nami nitakuwa kurasa moja na ninyi mnao wajua.

Nikukanye kaka/dada, usipende kujaribu kujilinganisha na usiowafahamu!! Tuheshimiane, tusonge mbele babu/bibi.

Nb: samahani nimetumia jinsia zote mbili kwasababu nimeshindwa kukutambua pia. Kwa hiyo unaweza kunielewesha pia. AMANI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hii diss track p mawenge 3 - nikki mbishi 0.
Sasa tunasubiri comeback ya nikki lakini mambo yanavyoonekana nikki anaweza kupigwa KO kabisa.
 
Nikki anapenda sana beef siku moja moja awe anakula samaki au kuku.
 
Shabiki lia lia wa Unju lazma tukbali kwamba unju kaDrop hata style yake ya kuchana sku hiz ni Mbov na yeye kila cku ni mtu wa lawama plus na ujuaji haiwezakani kila mtu agombane na yeye.....
Ile diss track ya P mawenge kuanzia skunde ya kwanza mpaka ya mwsho vilivyopngelewa vyote ni naked truth::::**:*:: Unju atakuja kuimba MATUSI tuu mwanzo Mwsho sabab ndo anachokijua sku hizi utaskia mara GAY ww upo kama toroli huendi mbele mpaka ushikwe Nyumaa ....
Safar hii kapata kboko yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia hunijui sikujui itakutokea makalioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…