Bifu za watu maarufu zinavyoendelea mtandaoni

Living Pablo

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2020
Posts
3,549
Reaction score
10,995
Nawaza Tanzania yetu ya sasa jinsi inavyozidi kupoteza dira jinsi kiki za mitandaon inavyozidi kuipeleka puta nchi ukija huku sakata la Diamond na wanaharakati ukienda kule bifu la Mange Kimambi na Zari jinsi Zari alivyoporomosha matusi ukija uku Kajala na picha zake japo yeye mwenyewe anapinga.

Kwa yanayoendelea kwa sasa ama kweli watanzania kubadilika kifikra labda tutawaliwe tena. Nawaza upinzani wa Tz umekosa mambo ya kujadili kuanzia wakuu wake mpak vibaraka wamekaaa kujibizana na msanii jambo ambalo ni nadra kilikuta kwa nchi za wenzet cjh wanaelekea wapi wanashindwa kuaplay part yao as a watch dog kwa rulling party wanakaa kushindana na msanii seriously!!

Kwa Hali hii tusimtafute mchawi ni nani?🙏
 
Wametoka kwenye katiba mpya, wakahamia kwenye tume huru mara sasa wapo kwa msanii kweli hao wanaojiita wanaharakati wananishangaza sana.
Ndo wanaharakat wetu hao alaf ikfka kpnd cha uchaguz wakishindwa wanalalama wameibiwa kura na mambo mengne wanashindwa kutoa msingi mzuri Sasa baadae wanalalama
 
Mkuu wamenisikitisha mno. Mwanzo mi nilidhani ni wafuasi tu chama kumbe hata viongozi wao wakubwa tu nao wako bize na msanii. Bora ingekua wasanii yani ni msaniii mmoja tu. Jopo la watu kibao linamzonga.
Wanashindwa kujenga chama chao wenyw kiwe thabit wanaingilia kiki za sanaa
 
Wanashindwa kujenga chama chao wenyw kiwe thabit wanaingilia kiki za sanaa
Mbowe yupo kanda ya ziwa leo kaanza kanda ya kati . Bawacha wapo mzigoni ukija kila jimbo linajenga ofisi zao hii haijawahi tokea africa. Unataka wajengeje chama. Ni mgawanyo tu wa majukumu
 
Kwanini uwapangie watu cha kufanya kama huteseku
Nawpangia wakina nani na nawapangia nn? Kama ni wanasiasa binafsi unajua wanapaswa wafanye nn ko kuingilia yasowahusu ndo kuwapangia?
 
Wewe mwenyewe inaonekana una maslahi kwenye genge mojawapo ndio maana unaumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…