Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Halafu sikujua kama Ajibu mshamba hivi mpaka alipopewa ucaptain. Hata akiwa anaongea na media. Leo umefika wakati wa kutambulisha kazubaa tu,mpaka Mwakyembe anamkumbushaAjibu ndio mshamba, kazi ilikua kutambulisha wala sio kutoa mkono. Kelvin kaacha makusudi ili ajibu ajifunze utaratibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ushambawake nin?Halafu sikujua kama Ajibu mshamba hivi mpaka alipopewa ucaptain. Hata akiwa anaongea na media. Leo umefika wakati wa kutambulisha kazubaa tu,mpaka Mwakyembe anamkumbusha
Mchicha wa RoryaNafikili yondani ana matatizo makubwa kuliko nilivyokuwa namfikilia. Kama issue nikitambaa cha unaodha mbona tatizo sio Ajibu siangeenda kumlalamikia kocha. Hivi anafikili mashabiki wamejenga picha gani pale? Kubwa zima akili matakoni.
Nimemshangaa sana yondani, uzoefu wote bado anaonyesha kabisa in public utoto wake.Ni wakati wa Mechi ya Simba na Yanga leo jumamosi Feb 16,2019.
Tukio limetokea wakati kapteni wa Yanga Ajib anawatambulisha wachezaji wake kwa mgeni rasmi alipofika kwa Yondani akagoma kupokea mkono wa salam kutoka kwa kapten na kukimbilia kuushika mkono wa mgeni rasmi, bahati nzuri tukio limenaswa vizuri sana na Camera za Azam tv.....
Kuna jambo haliko sawa hapa inabidi litaftiwe ufumbuzi mapema sana katika harakat za kuwania ubingwa.
View attachment 1024211
Sheria gani inakataza kapten asiwashike mkono wachezaji wenzake wakati wa kuwatambulisha?Ajibu hajielewi, sasa hapo alikua anasalimia au anatambulisha wachezaji? Mi naona Yondani alikua sawa, Ajibu majukum yake hayatambui kama Captain. Hadi kumpokea Mwakyembe alishituliwa na Karia
UNAENZA ONGE HAYAKWELIAjibu ndio mshamba, kazi ilikua kutambulisha wala sio kutoa mkono. Kelvin kaacha makusudi ili ajibu ajifunze utaratibu
Sent using Jamii Forums mobile app