brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Waswahili wanasema mafahari wawili hawakai zizi moja, huu msemo bhana umejidhihirisha kwa Rayvan na Harmonize baada ya kila mmoja kujiona fundi zaidi ya mwenzake ingawa meneja wao ndugu Ricardo Momo kwa kuficha aibu amekanusha vikali sana
Watu wa karibu wa wasanii hawa wamedokeza kuwa maelewano yao yamekuwa ya mashaka sana sababu kuu ndio hiyo ya kila mmoja kujiona anajua zaidi ya mwenzake
Shuhuda mwingine alisema kuwa Harmonize amekuwa akijisifu chini chini kuwa ngoma ya salome angeshirikishwa yeye ingekuwa kali sana kama ngoma yao ya bado ilivyotusua