Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 154,929 Reaction score 459,607 Sep 23, 2016 #21 chige said: Lakini the so called kiki zingine zinatengenezwa na watu halafu tunawazingizia WCB!!! Click to expand... Kwahyo hii chige inawezekana ikawa imetengenezwa na watu
chige said: Lakini the so called kiki zingine zinatengenezwa na watu halafu tunawazingizia WCB!!! Click to expand... Kwahyo hii chige inawezekana ikawa imetengenezwa na watu
C Chige JF-Expert Member Joined Dec 20, 2008 Posts 13,495 Reaction score 29,872 Sep 23, 2016 #22 shunie said: Kwahyo hii chige inawezekana ikawa imetengenezwa na watu Click to expand... Naweka 75% kwamba Insta made stuff!! Panaweza kuwa na misunderstanding za hapa na pale ambazo ni kawaida kabisa lakini raia wakaongeza chumvi, pili pili, na ndimu juu!!
shunie said: Kwahyo hii chige inawezekana ikawa imetengenezwa na watu Click to expand... Naweka 75% kwamba Insta made stuff!! Panaweza kuwa na misunderstanding za hapa na pale ambazo ni kawaida kabisa lakini raia wakaongeza chumvi, pili pili, na ndimu juu!!
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,440 Reaction score 32,260 Sep 23, 2016 #23 baba yao mond ndo ataamua
Iyegu JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 6,276 Reaction score 12,404 Sep 23, 2016 #24 Harmonize hamfikii rayvanny hata robo
W wise-comedian JF-Expert Member Joined Aug 4, 2011 Posts 3,293 Reaction score 3,945 Sep 23, 2016 #25 Hivi hela ina uhusiano na weupe!?