Comrade21
JF-Expert Member
- Apr 27, 2023
- 384
- 560
Habari,
Kidogo mm humu ni mgeni, ila katka ugeni wangu kuna watu huwa naona wako serious kwenye swala la ku dislike yaani wao hiyo ndo kazi yao kubwa
Kwa kweli sijajua kwamba hawa watu wana lengo gani au mpango gani maana watu wengi sana naona amna lalamika kuhusu hawa jamaa vipi jamani kwan kunabifu lolote na hao watu
Mi kwa upande wangu, sina neno wala shida maana hizo like or dslike hazipunguzii chochote wala haziniongezei chochote
Kama unaona post or comment haijakuvutia we si vunga tu kwan lazima kuonesha reaction kwenye post or comment
Jamani humu ni watu wazima utoto huu wa darasa la kwanza tuuwache, wengine humu ni watu wazima tu na mnafamilia zenu kabisa
Cha umuhimu tupeane support, watu wanaingia humu kuondoa stress na kupata reflection sasa ww unakuja na dslike zako, dah mwana hiyo sio poa
#BIFU BIFU BIFU