Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 2,026
- 4,450
Ndio Matt Damon alicheza Ile movie ya Great Wall hapa, ukuta mkubwa balaa
@kerucee naona wameanza[emoji28]View attachment 1759882
Machimbo ya chumvi(Chumvini[emoji23][emoji23]) Garmsar,Iran
Yangekuwa tz tungeshayapoteza, akili zetu tunazijua wenyeweView attachment 1760387
πDinosaur Bones - yaliyopatikana Tanzania eneo la Tendaguru Kati ya mwaka 1909 na 1913 - which made it the most successful dinosaur excavation of all time.
πHivi sasa yupo Makumbusho ya Berlin nchini Germany.
Hakika amigoYangekuwa tz tungeshayapoteza, akili zetu tunazijua wenyewe
Australia nmewanyooshea mikono[emoji119]View attachment 1783332
[emoji117]Nile Crocodile - hawa ndiyo mamba wakubwa Afrika, na pia ndiyo wanyama wenye stongest bite ndani ya Animal Kingdom.
[emoji117]Ndiyo mamba wa pili kwa ukubwa duniani baada ya Saltwater crocodile wa Australia.
Nafikiri ni kilimo cha kisasa, hata machungwa yao ni bora dunianiView attachment 1784542
Hivi kuna siri gani ya kilimo cha matunda jamii ya machungwa na nchi za Palestine na Israel???
Limao kubwa kupata kurekodiwa
Mediterranean climateView attachment 1784542
Hivi kuna siri gani ya kilimo cha matunda jamii ya machungwa na nchi za Palestine na Israel???
Limao kubwa kupata kurekodiwa
mzee huu ni mtutu wa A-10 Thunderbolt 2?
ππππAustralia nmewanyooshea mikono[emoji119]
Weapon of Mass Destruction.
Modern warships
Majitu ya zamani yalikuwa na commitment aisee....8850 km sio kitoto...View attachment 1780125
βGreat Wall Of China - Ndiyo ukuta mrefu kuliko yote duniani 8850 km long.
βLengo la kujengwa ni kwa ajili ya defensive purpose na border control over Eurasian Steppe.
Majitu ya zamani yalikuwa na commitment aisee....8850 km sio kitoto...
yaaah but ni 21,196 kilometers long, and not 8850km..........Haya ndiyo malengo ya muda mrefu sio kama viongozi wa afrika wanabadilika rangi kama kinyonga.Majitu ya zamani yalikuwa na commitment aisee....8850 km sio kitoto...