BIG Blow for EACOP as Deutsche Bank Cancels Financing

kennedy0000

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2012
Posts
4,349
Reaction score
3,745
All along we were made to believe the deal was done.

It appears Total has no money to finance the project, and it's main lenders are all dropping out one by one, thanks to environmental activists in Europe.

Is EACOP facing the same fate as US Keystone pipeline project?

Perhaps Tanzania and Uganda should invest more on diplomacy instead of mocking Kenya for wasting money on 'foreign trips'.
It would be a shame if such a project was brought down by some college hippies with placards.

db.JPG
db1.JPG
 
Hili bomba licha ya tambo zetu humu naomba litekelezwe, kuna manufaa mengi sana ambayo yatatiririka ukanda wote huu.
Sema tatizo Wabongo sio wachakarikaji, huwa wapo wapo tu siku ziende, wamekaa wanasubiri badala wawe mstari wa mbele kutafuta namna ya kucheza michezo ya huko mbele na kusukumiza uwekezaji wake. Total aliichagua Tanzania kisa ardhi, sasa Watanzania badala ya kulala, ilipaswa waongoze kuuhakikishia ulimwengu hamna madhara makubwa ya kimazingira.

Waganda hawana la kupoteza, mafuta yako kwao.....
 
Imagine sitting back as such people bring down your golden goose.
Tanzania waache mchezo. They should borrow some aggressiveness from Kenya.

Hawa majirani wanakaa tu 'ndeeee', huku watu ambao hawako Tz, wala sio watanzania wakiupangua mradi wao. Kama watz wenyewe hawana pingamizi, huu mchezo ulifaa uwe umemalizwa zamani sana. Kwenye majukwaa ya siasa na karata za kimataifa, sio kelele za kienyeji kienyeji hapa AM. Wao wakiona mapigo kama hayo hapo, wanaishia kupuuza na kusema kwa uzembe kwamba sijui ni wakenya. Mara wakenya wanatuonea wivu, kama walivokaririshwa na rais wao, mwendazake.

Mimi binafsi(kama mwanamazingira) nashukuru kwamba huu mradi hautekelezwi nchini Kenya. Sio baada ya kuona upuuzi ambao wenzao Shell wamefanya kule Niger Delta, Nigeria. Ambapo kuna vijiji vingi ambavyo ardhi hailimiki, uvuvi haufanyiki, umasikini umekidhiri na afya za watu zimedhoofika. Kisa 'spillage' za kutisha, ambazo kampuni hizi zinapuuza tu, hadi inatia hasira. Total huwa hawatoi wazi commitment kuhusu 'spillages' na 'clean-ups' zitakazohitajika na ambazo ni wajibu wao.

Hili bomba lingekuwa linapita Kenya ningekuwa kwenye mstari wa mbele wa kulipinga. Tena kwa nguvu zangu zote, kama ilivyo kawaida ikifika ni kwenye masuala kama haya, yanayohusiana na mazingira.
 
Hawa majirani wanakaa tu 'ndeeee', huku watu ambao hawako Tz, wala sio watanzania wakiupangua mradi wao. Kama watz wenyewe hawana pingamizi, huu mchezo ulifaa uwe umemalizwa zamani sana. Kwenye majukwaa ya siasa na karata za kimataifa, sio kelele za kienyeji kienyeji hapa AM. Wao wakiona mapigo kama hayo hapo, wanaishia kupuuza na kusema kwa uzembe kwamba sijui ni wakenya. Mara wakenya wanatuonea wivu, kama walivokaririshwa na rais wao, mwendazake.

Mimi binafsi(kama mwanamazingira) nashukuru kwamba huu mradi hautekelezwi nchini Kenya. Sio baada ya kuona upuuzi ambao Total wamefanya kule Niger Delta, Nigeria. Ambapo kuna vijiji vingi ambavyo ardhi hailimiki, uvuvi haufanyiki, umasikini umekidhiri na afya za watu zimedhoofika. Kisa 'spillage' za kutisha, ambazo Total wanazipuuza tu, hadi inatia hasira. Total huwa hawatoi wazi commitment kuhusu 'spillages' na 'clean-ups' zitakazohitajika na ambazo ni wajibu wao.

Hili bomba lingekuwa linapita Kenya ningekuwa kwenye mstari wa mbele wa kulipinga. Tena kwa nguvu zangu zote, kama ilivyo kawaida ikifika ni kwenye masuala kama haya, yanayohusiana na mazingira.

Lakini kwani Total wakibanwa vizuri si watatekeleza mbinu salama za kulipitisha bila uharibifu wa mazingira, hao hao wanavijiji wanapaswa wapewe vipau mbele kwenye kunufaika kutokana na mafao au manufaa ya kiuchumi yatakayoletwa na bomba, tatizo sera ya ardhi Tanzania iko hovyo sana, kule ardhi ni ya serikali na wana uwezo wa kukuburuza watakavyo.
 
Ndio tatizo letu sisi waafrika, watu huwa hawafaidiki na rasilimali, ambazo zinatoka au zinapita kwao. Kisa viongozi na wanasiasa wetu hawa ni vinyangarika kupindukia. Huwezi amini kwamba kule Niger Delta hata barabara tu za lami na shule, hospitali ni tatizo. Licha ya ardhi yao kubarikiwa na mafuta kwa wingi.

Kisha kuwatonesha vindonda zaidi Shell na ENI ya Italia zinapuuza vilio vyao. Tena kwenye ajira ndio usiseme, vijana wazawa wameambulia patupu. Huku 'wataalamu' wakiletwa kutoka India na Ufilipino. Mafuta kule yameua samaki wote mitoni, hadi na mimea ile ya kando kando. Udongo mashambani nao umejaa mafuta hauna rotuba tena, wanavijiji wanahama makwao. Hayo yote hayajasababishwa na uchimbaji wa hayo mafuta. Sanasana ni kwenye usafirishaji, kupitia 'spillages' za mara kwa mara. Kutoka kwa mabomba yaliopasuka, 'manifold' zilizotekelezwa, n.k.

Imefikia hatua ambayo imewabidi vijana wazalendo watafute silaha za moto. Utasikia wakipakaziwa na kuitwa waasi, mara mabaharia, ambao wanakatiza kwenye Delta na motor boat zao. Wakiteka nyara wazungu na meli za kampuni kubwa za kimataifa. Chanzo cha hamaki zao ni hasira ya uhuni wanaofanyiwa, sio uhalifu.

Jombaa kati ya vitu ambavyo vinawavutia wanaharakati hawa wa kimazingira, kimataifa, kwenye mradi wa EACOP ni kwamba Total bado hawajatoa commitment ya wazi. Kuhusu jukumu lao iwapo kutakuwa na 'spillages', sio kwenye mkataba wenyewe wala kama 'social responsibility' yao. Alafu kumbuka sehemu hiyo ina vyanzo vingi na mito pia, ambayo kwa njia moja au nyingine zinagusana moja kwa moja na Ziwa Victoria.

Kuona ni kuamini, hii ndio legacy ya 'Big Oil' barani Afrika. Baada ya kujikwapulia rasilimali kwa miaka mingi, wakishirikiana na wanasiasa wetu mafisadi.
thumb_oil_spill_nigeria_delta.jpg
17211913_503.jpg
The-oil-wellhead-near-the-006.jpg
628250222-origin-768x432.jpg
121229680.jpg
Hii ndio kazi ya kampuni za Shell na ENI(Italy) kule Niger Delta. Ndio legacy na shukran ambazo wameachiwa wenyeji ya sehemu hizo(waogoni).
 
All along we were made to believe the deal was done.

It appears Total has no money to finance the project, and it's main lenders are all dropping out one by one, thanks to environmental activists in Europe.

Is EACOP facing the same fate as US Keystone pipeline project?

Perhaps Tanzania and Uganda should invest more on diplomacy instead of mocking Kenya for wasting money on 'foreign trips'.
It would be a shame if such a project was brought down by some college hippies with placards.

View attachment 2229104View attachment 2229105
Tofautisha kati ya not financing na cancel financing acha kuandika habari za upande mmoja za kujifurahisha.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mafuta yatakuwepo ya kumwaga. Jumapili bure! Wacheni wajenge nani asiyetaka kuota unajaziwa mafuta ya petroli bure? Kila Jumapili au Ijumaa??
 
There is difference between.

"Is not financing" and "will not finance"
 
Imagine sitting back as such people bring down your golden goose.
Tanzania waache mchezo. They should borrow some aggressiveness from Kenya.

Lol, Tanzanians are only aggressive when a Kenyan is mildly mentioned as in opposition to them, they'll come to all social media guns blazing. Unakumbuka ile demonstration? Out of thousands of demonstrators, they focused on a Kenyan student and that's where they pegged their arguments - eti Kenya tunawaonea wivu. 🤣 🤣
 
Ni kweli hata kama ni mmoja inakuaje jirani yetu ukashiriki kwenye huo uchawi?!Sisi kwetu mtu kama huyo angeitwa na serikali na kuonywa mara moja!!!Unafiki on fleek!.Mmeumia sana na hili bomba!!!Kama vipi njooni tuwapeni mabomba!Tena bomba kweli kweli!!!Ni mwendo wa kula bomba juu ya bomba🍆.Shwaini!
 
We don't have hive, ujamii thinking in Kenya. Everyone has their opinions and views, and they are free to express them they way they see it fit.
 
Kenya tukirudi nyuma na kuwa mazombi wa kihivyo ninaweza kuchukia balaa yaani.....eti serikali itupangie mpaka tunachowaza.
 
Kenyans naomba mtuambie mradi wenu wa mafuta Turkana-Lamu ulioanzishwagwa na Kibaki umeishia wapi??[emoji1787] tunasubiria mje mtuuzie mafuta wana East Africa [emoji1787]
 
Mbona bomba la TAZAMA lipo na hatuoni hiyo environmental disaster. Hii ni economic war! Na kama tukijua kwamba nyie ndugu zetu ndo mmetuzunguka basi mtakiona!

Some of us have already started cashing in on the project. Tunategemea maisha yetu tubadilika Hii miaka 3. Sasa mjue tukiona habari kama hizi tunateseka sana.
 
Utakua mjinga kuanza kuwekeza kwa kitu ambacho bado hakieleweki eleweki na kinategemea hisani ya mabeberu, na hili ndio tatizo lenu, huwa hamtangulizi ubongo kwanza baadaye mnaishia kulialia......
Mlikimbilia kuanzisha miradi kote mara uwanja wa Chato....
 
Mbona hueleweki mara chato mara mabeberu mara ubongo kwani unajaribu kuongea nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom