Big Brother Africa 2011 - Amplified (Wawakilishi wetu from Tanzania)

...hivi ni kwanini Tanzania imepeleka wawakilishi wawili?, na wote wanatoka Media House moja, EATV
 
hivi kwa nini wasimpeleke joti au Nape

Sio kwamba unapelekwa tuu!!! lazma uchukue form na upitie interviews 2 au tatu..wana vitu ambavyo wanatazama na kimoja wapo ni jinsi gani unavyo ji express...si lazma uwe 100% good in english but other talents wanatazama pia...character fulani huwa wanazitafuta ili kufanya nyumba iwe Live!!!
 
Huyo Lotus ni Mtanzania kweli? hilo jina lake ni balaa, halafu ana masifa hadi wakati wanaingia kwenye mjengo alianguka!!!!!! shame!!!!
 
Hata programme yake (Nirvana) sio nzuri kama ilivyokuwa zamani na Abby.
 
Reactions: Iza
Naombeni lyrics na wimbo wa ufunguzi alioimba Basta rymes.
 
Halafu kwanini wote ni wasichana?Inamaana kila nchi imepeleka washiriki wawili au Tz tu na kama ni hivyo ni kwanini ipeleke wawili na siyo nchi nyingine?!
 
Huyo Lotus ni Mtanzania kweli? hilo jina lake ni balaa, halafu ana masifa hadi wakati wanaingia kwenye mjengo alianguka!!!!!! shame!!!!

Juzi nikiwa naingalia BBA,
Lutos alikuwa anaongea na mshiriki mwenzake akasema, mama yake ni mtanzania na baba ni mzungu..
Nkaishia kushangaa mie,,
 
Halafu kwanini wote ni wasichana?Inamaana kila nchi imepeleka washiriki wawili au Tz tu na kama ni hivyo ni kwanini ipeleke wawili na siyo nchi nyingine?!

Ni chache sana ambazo hazijapeleka washiriki 2 kama 2 au 3, lakini nyingine zote wameenda wawili.

Lakini bado hawajawa washiriki rasmi mpaka j2 ndo kuna ambao watatolewa, watapita wale ambao watakuwa wamefaulu kwenye task za kila siku wanazopewa, yaani kifup ni kama wapo kwenye mchujo wa kuwa washiriki rasmi.
 
mi siridhiki kupeleka wote wanawake maana kule!!!!!!!!!
 
basi angeenda hata mwanaume 1 ili akatembeze pingili ya muwa sa dada zote wote
 
Naona tumeamua kupeleka tena viburudisho kwa washiriki
 
Hata kj angefaa zaidi si unajua ni msaniii namba moja:evil::evil:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…