Inevitable
Senior Member
- Apr 27, 2012
- 111
- 277
Msimu mpya wa onyesho kubwa na la ukweli barani Afrika, Big Brother Naija, unaanza kuonyeshwa leo Jumamosi na Jumapili na waandaaji wakiahidi onyesho kuwa kubwa na bora zaidi kuliko hapo awali.
Kutoka kwa onyesho la uzinduzi mara mbili hadi nyumba iliyofanyiwa marekebisho.
Mwongozaji wa shindano hili, Ebuka Obi-Uchendu anasema kuna mambo kadhaa ya kutarajia.
1) Uzinduzi kufanyika kwa siku mbili. Leo Jumamosi 24 saa 3 usiku na Jumapili 25 Julai 2021.
2) No more SMS voting (huu utaratibu ulilalamikiwa na watu hivyo umeondolewa. Njia za kimtandao zitatumika)
Dstv angalia Channel 198