Inevitable
Senior Member
- Apr 27, 2012
- 111
- 277
Mimi mwenyewe ni shabiki wa Maria 😎umesahau kuwa kuna washiriki 'feki' wawili
afu kuna huyu Maria ni mrembo sana
Dada ananata yuleumesahau kuwa kuna washiriki 'feki' wawili
afu kuna huyu Maria ni mrembo sana
Si anajijua mremboDada ananata yule
Ni mrembo kweli kweli, na anajijua kuwa ni mrembo..Si anajijua mrembo
Naona baada ya Jana washiriki wapya kuingia Pere ameanza kujirudi kwa Maria
Ni mrembo kweli kweli, na anajijua kuwa ni mrembo..
Ngoja tuone, ila bado imepoa huenda huko mbele ikachangamka
Unapenda pisi kali baba wawiliLiquorose
Hahah halafu huyu Maria sio pacha wako kweli ?Unapenda pisi kali baba wawili
Niwe pacha wa Maria niringeHahah halafu huyu Maria sio pacha wako kweli ?
Hahah dah acha masihara, avatar yako tu inasadifu kuwa ni pacha wa MariaNiwe pacha wa Maria niringe
Mimi pacha wa Jackie B bwana [emoji6]
Jumamosi kwenye Party ilichangamka sana, Nilikesha naoNi mrembo kweli kweli, na anajijua kuwa ni mrembo..
Ngoja tuone, ila bado imepoa huenda huko mbele ikachangamka
EmmaRoseLiquorose
Avatar si unajua sio zetu tunaziiba tu huko tukikutana nazoHahah dah acha masihara, avatar yako tu inasadifu kuwa ni pacha wa Maria
Hahah wanaendanaEmmaRose
Sema Jaky B kabarikiwa usafiri wa haja,kweli nyumba ni chooAvatar si unajua sio zetu tunaziiba tu huko tukikutana nazo