albertt
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 339
- 78
Hatimae jana Idris Sultan alizirusha game zake 2 binafsi playstore (kwa wale wanao tumia simu za android wanaelewa nazungumza nini, nakupata sifa kedekede kwenye makampuni na mashabiki wake wafurika ku download michezo hiyo.
Sijui ndo ujio mpya huu wa kampuni yake mpya ya THREEE
Sijui ndo ujio mpya huu wa kampuni yake mpya ya THREEE