Yap Luke Show kajifungaNyie mnaoangalia eti ni goli la kujifunga?
Safi Sana..Yap Luke Show kajifunga
Bado straiker hatari SmallingYap Luke Show kajifunga
Watajijua wenyewe uyu anatakiwa ku focus kwenye top 4 msimu ujao afanye usajili atengeneze timu timu imeoza.Bado straiker hatari Smalling
Kama hapa wamekalia msumali,nou camp itakuwajeWatajijua wenyewe uyu anatakiwa ku focus kwenye top 4 msimu ujao afanye usajili atengeneze timu timu imeoza.
Ndio ni goli la kujifungaNyie mnaoangalia eti ni goli la kujifunga?
Mpira una dunda mkuuKama hapa wamekalia msumali,nou camp itakuwaje
Thanx, ngojea nikatazame Barca akilambishwa mchanga
Saa 4 kamili mkuu, usikae mbali kuiona Man Utd ikitakata leo