eRRy JF-Expert Member Joined Jun 12, 2009 Posts 1,126 Reaction score 206 Sep 21, 2009 #1 [ame="http://www.youtube.com/watch?v=7OJw_F40IOU"]http://www.youtube.com/watch?v=7OJw_F40IOU[/ame]
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,199 Reaction score 8,761 Sep 21, 2009 #2 Wewe Erry84 sasa unamchokoza rafiki yangu mmoja anaitwa Burn wa humu jamvini. Huo mdomo ndo ile uswahilini kwetu tunasema anameza chapati bila kukunja!
Wewe Erry84 sasa unamchokoza rafiki yangu mmoja anaitwa Burn wa humu jamvini. Huo mdomo ndo ile uswahilini kwetu tunasema anameza chapati bila kukunja!
M mcferry Member Joined Sep 21, 2009 Posts 9 Reaction score 0 Sep 21, 2009 #3 huu mdomo hana haja ya kukata kitumbua,mana atakula hivyo kama anavyo kula karanga
kanyasu JF-Expert Member Joined Feb 9, 2009 Posts 234 Reaction score 18 Sep 21, 2009 #4 Jamaa anatisha, katika dunia ya sasa anatakiwa akafanye kazi mgodini ili afiche mchanga wa dhahabu kilo nzima mdomoni.
Jamaa anatisha, katika dunia ya sasa anatakiwa akafanye kazi mgodini ili afiche mchanga wa dhahabu kilo nzima mdomoni.