big mouth-2

eRRy

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2009
Posts
1,126
Reaction score
206
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=7OJw_F40IOU"]http://www.youtube.com/watch?v=7OJw_F40IOU[/ame]
 
Wewe Erry84 sasa unamchokoza rafiki yangu mmoja anaitwa Burn wa humu

jamvini.

Huo mdomo ndo ile uswahilini kwetu tunasema anameza chapati bila kukunja!
 
huu mdomo hana haja ya kukata kitumbua,mana atakula hivyo kama anavyo kula karanga
 
Jamaa anatisha, katika dunia ya sasa anatakiwa akafanye kazi mgodini ili afiche mchanga wa dhahabu kilo nzima mdomoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…