swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,250
- 1,470
Baada ya serikali kuona haiwezi kuwatimizia mahitaji yao ya mazingira magumu,posho ya kufundishia na kuongeza mshshara,serikali imeamua kuanzisha mpango wa kuwasaidia watoto kufaulu bila kutegemea mwalimu ili kuonesha kuwa madai yao si ya msingi.
Serikali ilikuja na mpango wa Big Results Now ili kuongeza kiwango cha ufaulu.toka mpango huo uanze hakuna maboresho yoyote iwe mshahara kwa waalimu,nyumba za waalimu wala vifaa vya kujifunzia na kufundishia.lakini watoto wamefaulu kwa kiwango cha juu.
Kwa sababu hiyo kwanza watoto hawajafaulu ila wamefaulishwa.
Mpango wa BRN umethihirisha kuwa ni Big Rescue Now kwa wanafunzi yaani mpango wa UOKOAJI kwa wanafunzi.walimu si lengo lengo ni wanafunzi.
Tanzania,Salute.