Big result now( BRN)WALIOFELI FOMU "TWO" RUKSA KUENDELEA FOMU "THREE".

Dj-kobo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
458
Reaction score
193
Habari ya leo wana jf,
hatimaye serikali imetoa kauli kua waliofeli mtihani wa kidato cha pili mwaka jana ruksa kuendelea na kidato cha tatu.
CHANZO CHA HABARI GAZETI LA MAJIRA. Hii imekaaje wakuu? Nawasilisha
 
Aisee! Tutegemee vilaza wengi miaka ijayo!
 
watarudia tu wale waliopata below 20 na waliopata 20-39 watapata masomo rekebishi wakiwa fm 3
 
Kuelekea kampeni za urais huwa kunakuwa na "maajabu" sana. Kutafuta huruma kwa wananchi kwa "Kuzalisha" vilaza.... Somebody fails and you tell him "go ahead".
 
Habari ya leo wana jf,
hatimaye serikali imetoa kauli kua waliofeli mtihani wa kidato cha pili mwaka jana ruksa kuendelea na kidato cha tatu.
CHANZO CHA HABARI GAZETI LA MAJIRA. Hii imekaaje wakuu? Nawasilisha

Watoto wao hawasomi ktk hizo shule wala hawajafeli.
Janga la taifa hili. We are creating a new monster!
 
Mtaitambuaje kuwa Hii ndio serikali ya Chama Cha mizigo?
 
Mtaitambuaje kuwa Hii ndio serikali ya Chama Cha mizigo? Mtaitambuaje kuwa wamechemsha , matendo jamani matendo mtaitambua hee samahani nilikuwa kunako ghosipo
 
Kama viongozi wenyewe hawajasoma tutegemee nini zaidi ya haya. Hehehe na PhD za kupeana!
 
Jamani waoneeni huruma wengine walifeli mwaka jana na sasa tena! Acheni wapate angalau leaving certificate ya f4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…