Kitaeleweka
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 394
- 88
Wakuu huu mkakati wa big result naona ni kama mzaha kwa walimu kwani wanatakiwa kufanya kazi kubwa kwa ujira mdogo sana.
Walimu wanaitwa kwenye semina ya siku tano huku wakilipwa tshs 20000 kwa wanaotokea vijijini na 10000 kwa walimu waliopo wilayani yaani mwisho wa siku unaondoka na 50 au laki 1 plus 20 ya nauli huku semina ikiwa ni kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 11 jioni cha ajabu zaidi fedha hizi zimetolewa na shule za halmashauri husika lakini mwisho wa siku wanasemina wanatakiwa wakafundishe kila jioni kwa buku kwa saa na kila wiki aandae ripoti inayoenda wilayani then mkoani then ikulu na hatimaye duniani kwa wadhamini ( sijui hao wadhamini mpaka sasa mchango wao ni upi kwani ela zimechangishwa na shule na nyingine zitatoka kwenye kodi ya line ya simu) hivi itawefanikiwa hii program kweli?