Sector ya elimu bado aijapata waziri anayejua siri ya kuferi vibaya wanafunz,,,,hawa viongozi awajui tatizo la sector ya elimu liko wapi?sasa Afisa elimu na wakuu wa shule apa nchini,,,wengi wao ndio hawahawa wanaozolotesha elimu,,,hapa nchini,,,kwa sababu zifuatazo,,,,,,,,,,,
1.kuwa na mikakati mibovu.
Afisa elimu na wakuu wa shule wao kama wao kutokana na mazingira yao,hawana mikakati ya kuinua elimu,badala yake wana mikakati ya kukusanya fedha basiiiii,,,.
2.Wakuu wengi wa shule wamepewa nyazifa hizo kwa unafiki,awana sifa sitahiki,awna ubunifu,[conservative],
Sasa huzan watu kama hawa wanaweza kuleta big risult now?
3.Baadhi ya wakuu wa shule ndio wanaendekeza vitendo vya kuwageuza wanafunz wake zao.
Sasa mkuu wa shule ambaye yeye ndiye wakwanza kutembea na wanafunz kimapenziiiiiiiiiiiiiiiii,,,,ataleta big result huyo?
kuna shule fulan kama ningekutana na waziri wa elimu,ningemwambia ukweli,,baadhi ya wakuu wa shule awafaii,,,kama huyu ninayemsema.sasa unategemea mkuu kama huyu anaweza kukemea vitendo kama hivyo kwa walimu wengine wenye tabia kama hiyo?watoto wetu wanafeli kwa sababu nyingi,lakin hilo pia ni tatizo kubwa.
4.Maafisa elimu wengi ni vilaza tu,,.
sasa afisa elimu anajua kabisa mkuu fulan wa shule anatembea na wanafunzi wake kimapenz,,ushaidi upo,lakin achukui atua eti kwa sababu wanatokea kabila mmoja!aya mambo sijui Tz tutayakomesha vip?maana yanaboa sana.walimu wengi wanaotoa taarifa kama hizo kwa maafisa elimu,wanaishia kuamishwa vituo vya kaz,,tena wanakutupa babaya zaidi,,je,,tutafika na hiyo big result?
SOLUTIONS.
1.kuwa na maamuz magum ususan kwa wafanyakaz wasio na maadili ya kaz kama hawa niliowataja.
2.kubolesha masilahi ya walimu,kama mishara,mazingira ya kaz na vitendea kaz.
3.Kutokuoneana uruma katika kutekereza wajibu wa kaz.
4.kutowapa wakuu wa shule madaraka makubwa,,,sababu bodi za shule zilizonyingi,,,wahusika awana uelewa mkubwa wa maswala ya elimu,hiyo inawapa wakuu wengi mwanya wa kutafuna fedha za shule,,,.kuna baadhi ya madiwan hapa nchini awajui ata kusoma kiswahili,,alafu ni watu muhimu katika hizo bodi za shule.....
Niliwahi kuuzulia kikao fulan cha bodi ya shule,,,yaani mkuu wa shule anahutubia tu mpaka mwisho.na mambo anayoutubia,utekelezaji wake ni ngumu,,,tutafika?
5.Walimu wapewe nguvu ya kumhoji mkuu wa shule namna anavyotumia fedha za shule,,[cuptation] na fedha zingine,maana wakuu wengi awafanyi yale yaliyokusudia!
Aisee kaz tunaye kwenye elimuuuuuuuuuuuuu.....:kev: