Big result now????

JOSEPH SAKI

Senior Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
110
Reaction score
16
Hivi majuzi serikali ilizindua mpango wa kuleta matokeo makubwa kwenye sekta mbalimbali, hapa kuna mengi ya kuzungumzwa hasa kwenye sekta ya elimu tuliofuatilia kilichoendelea kwenye ukumbi wa kisasa wa mwl. Nyerere nadhan tumebakia na maswali mengi yasio na majibu mojawapo na la msingi likiwa ni udhati wa serikali katika mpango huo! Je ni kweli mpango huu umefanyiwa utafiti kuona hayo matokeo makubwa yanapatikana a ndo mipango ile ile ya watu walewale!!? Inashangaza kuona waziri wa elimu mh.shukranivyokuwa akihutubia kuhusu mpango huo huku wadau wakiwa wamekaa kama waumini wako kwenye ibada badala ya kutoa mawazo nn kifanyike! Kingine ni kuwa mkutano huo waudhuriaji wengi walikuwa ni maafisa elimu na wakuu wa shule!! Si siri kuwa haw a ni watu ambao hawana uhasiano wa moja kwa moja na wanafunzi je ni kweli hawa wanaweza kuelezea kinachofanya wanafunzi wafeli kinagaubaga!!?? Seriously is there gonna be big result in our education sector!!!?
 
Sector ya elimu bado aijapata waziri anayejua siri ya kuferi vibaya wanafunz,,,,hawa viongozi awajui tatizo la sector ya elimu liko wapi?sasa Afisa elimu na wakuu wa shule apa nchini,,,wengi wao ndio hawahawa wanaozolotesha elimu,,,hapa nchini,,,kwa sababu zifuatazo,,,,,,,,,,,
1.kuwa na mikakati mibovu.
Afisa elimu na wakuu wa shule wao kama wao kutokana na mazingira yao,hawana mikakati ya kuinua elimu,badala yake wana mikakati ya kukusanya fedha basiiiii,,,.
2.Wakuu wengi wa shule wamepewa nyazifa hizo kwa unafiki,awana sifa sitahiki,awna ubunifu,[conservative],
Sasa huzan watu kama hawa wanaweza kuleta big risult now?
3.Baadhi ya wakuu wa shule ndio wanaendekeza vitendo vya kuwageuza wanafunz wake zao.
Sasa mkuu wa shule ambaye yeye ndiye wakwanza kutembea na wanafunz kimapenziiiiiiiiiiiiiiiii,,,,ataleta big result huyo?
kuna shule fulan kama ningekutana na waziri wa elimu,ningemwambia ukweli,,baadhi ya wakuu wa shule awafaii,,,kama huyu ninayemsema.sasa unategemea mkuu kama huyu anaweza kukemea vitendo kama hivyo kwa walimu wengine wenye tabia kama hiyo?watoto wetu wanafeli kwa sababu nyingi,lakin hilo pia ni tatizo kubwa.
4.Maafisa elimu wengi ni vilaza tu,,.
sasa afisa elimu anajua kabisa mkuu fulan wa shule anatembea na wanafunzi wake kimapenz,,ushaidi upo,lakin achukui atua eti kwa sababu wanatokea kabila mmoja!aya mambo sijui Tz tutayakomesha vip?maana yanaboa sana.walimu wengi wanaotoa taarifa kama hizo kwa maafisa elimu,wanaishia kuamishwa vituo vya kaz,,tena wanakutupa babaya zaidi,,je,,tutafika na hiyo big result?

SOLUTIONS.
1.kuwa na maamuz magum ususan kwa wafanyakaz wasio na maadili ya kaz kama hawa niliowataja.
2.kubolesha masilahi ya walimu,kama mishara,mazingira ya kaz na vitendea kaz.
3.Kutokuoneana uruma katika kutekereza wajibu wa kaz.
4.kutowapa wakuu wa shule madaraka makubwa,,,sababu bodi za shule zilizonyingi,,,wahusika awana uelewa mkubwa wa maswala ya elimu,hiyo inawapa wakuu wengi mwanya wa kutafuna fedha za shule,,,.kuna baadhi ya madiwan hapa nchini awajui ata kusoma kiswahili,,alafu ni watu muhimu katika hizo bodi za shule.....
Niliwahi kuuzulia kikao fulan cha bodi ya shule,,,yaani mkuu wa shule anahutubia tu mpaka mwisho.na mambo anayoutubia,utekelezaji wake ni ngumu,,,tutafika?
5.Walimu wapewe nguvu ya kumhoji mkuu wa shule namna anavyotumia fedha za shule,,[cuptation] na fedha zingine,maana wakuu wengi awafanyi yale yaliyokusudia!

Aisee kaz tunaye kwenye elimuuuuuuuuuuuuu.....:kev:
 
Hapakuwa na mkuu wa shule hata mmoja! Ule mkusanyiko ulikuwa wa maafisa elimu wa mkoa na wa wilaya wa primary na secondary wa Tanzania Bara. Hapo ndipo walipochemsha. Wanapanga mipango yao, wanaizindua na wanatoa maagizo eti walimu watekeleze ili tupate BIG RESULT NOW. Walimu wanaofundisha hawajashirikishwa katika mipango yao. Wakuu wanaowasimamia hawajashirikishwa katika mawazo na mipango hiyo. Kitakachofuatia ni maagizo na amri tu. Hii ni ndoto ya mchana! Walitakiwa kwanza waboreshe mazingira ya kazi ya mwalimu, waboreshe mishahara na masilahi mengine ya walimu ndipo sasa wawaite walimu wakae nao chini wapange mikakati ya jinsi ya kuleta BIG RESULT NOW. Vinginevyo matokeo makubwa yatakuwa ya KUFIKIRIKA. Lazima mikakati ianzie kwenye grassroot ndipo kitaeleweka.
 
nimeshuhudia afisa elimu wa wilaya ya morogoro akiwaapisha maafisa elimu kata kiapo cha BGN yaani baba msanii watoto wasanii full comedy
 
Kama inawezekana tuwekee alicho kuwa anasoma Shukran kawambwa aka shukuru
Big result without big salary,wamelipana posho tu majiniazi wetu
#Ex Tanzania simper aligud novi#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…