Big results now janga kwa wananchi

Wizzo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
723
Reaction score
256
Serikali imeamua kuongeza ufaulu kwa wanafunzi ktk shule za serikali kwa kuanzisha program ya big result now,nadhani ni idea nzuri lakini imekaa kimagumashi kwa sababu walimu watakao fanya kazi ya kuwafundisha wamepewa muda wa jioni(evening classes) ambao kiuharisia ni overtime.

Sasa kinachoniuma hiyo overtime wanaotakiwa kuwalipa ni wazazi,jaman wazazi tutachangia vitu vingapi? Madawati,lim,ujenzi wa library,madawati yote haya ni yetu! Tena mnaongeza tuwalipe walimu kwa program ilioanzishwa na serikali? This isnt fair kabisa...bado hatujalipa 1000 ya line kila mwezi.

JK haya ndo maisha bora kwa kila mtanzania? Embu fikilia maisha ya watu wa vijijini ambao majority wanategemea kilimo cha jembe la mkono...aaaagghhh!
 
Ndo sisiem yenu iyo,ila jitaidin kuchangia wazaz ili walim nasi 2le ili 2wafundshie watoto,la sivyo mtaumia hak ya nan
 
Nyerere aliwahi kusema"Ubepari ni Unyamaaaaaaaaaaaa" Wala msitegemee ahueni yoyote kama tutaendelea kuiona CCM kuendelea kuwa madarakani. Wao wanayo sera ya kugawa raslimali za nchi hii kwa mataifa makubwa bila kulipia chochote. Kama sasa Bill Clinton anakuja mpaka Vingunguti pamoja na binti yake sasa mjue kwamba hatuna tena chetu hapa.
 

Hivi kwa nini isiwe "Big results from now?" Maana inapokuwa big results now inaashiria kama small results latter/tomorrow
 
serikali kwanza pelekeni waalimu mashuleni,na hakikisheni kuwa muda wa asubuhi unatumika vizur
 
kweli serikali inaonyesha juhudi za kuimalisha ubora wa elimu....
 
Mimi ni mwalimu bwana!!!!nasema hivi "big results now without big salary now iz
big problems now"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…