BIG SAM akaribia kuchukua mikoba ya kizee Hodgson.

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kocha wa Sunderland Sam Allardyce anatarajiwa kufanyiwa usaili wakati wowote kuanzia sasa ili kuifundisha timu ya Taifa ya England .

MyTake - Huyu ndiye mtu sahihi wa kufundisha timu ya taifa ya England , kila la heri Big Sam .

UP DATES ..... Club ya Sunderland imekiruhusu cha cha soka - FA , kufanya mazungumzo na Kocha wao ili kumaliza utata wa jambo hilo ambalo sunderland inadai limewaharibia mipango yao ya maandalizi ya msimu mpya .
 
Naisikitikia sana sunderland kwa kumpoteza kocha booora kabisa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…