sabodo nae msanii sana amesindwa kuyasemea mambo mengi ya nchi amekurupuka kwenye simu tu???mengine jeee?kama kweli ana uchungu nanchi hii...aweke orodha ndefu sana ya maasi yote ambayo yanadididimiza hali ya wananchi wengi..simu ni mojawapo litajadiliwa kupitia vyombo husika ila mengine je?[/QUOTE]
Hiyo sio kweli! Huyu mzee huwa ananunua page moja au mbili kwenye magazeti kuanika uovu/ufisadi kila unapotokea nchini. Kwenye EPA alifanya hivyo; sakata la BOT.
Ni mtanzania kuzidi baadhi ya sisi watanzania weusi!