TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
sijaelewa kitu
Tandale na issues za Brooklyn wapi na wapi?
Tandale na issues za Brooklyn wapi na wapi?
Usiwaze mzee, mwenyewe kuna issue kibao tu sizielewagi, ila huwa navunga na maisha yanasonga.sijaelewa kitu
Hiyo freestyle tuliirudia sana mi na my cousins mpaka tukaanza kwenda nae sawa word-4-word, kwenye shout-outs tunaweka yetu.Namkubali sana Big Tigga hasa kwenye RapCity Basement Freestyle ya Lil wayne nomaaa sana ila kwenye Snake ya R.kelly alitisha.
'T.i.g comin' live from the v.i.p..'Big Tigg ni balaa...kuna freestyle moja amepiga na Xzibit wakishuka na beat ya Bring em out ndani ya studio za BET..Ni shidaa sana
Hiyo freestyle tuliirudia sana mi na my cousins mpaka tukaanza kwenda nae sawa word-4-word, kwenye shout-outs tunaweka yetu.
Sijawahi kusikia ngoma ingine aliyowahi kufanya Mshkaji zaidi ya hiyo.
Session ya Guru niliikubali sana.View attachment 239754
Marehem Guru Gangstarr akiwa na braza men P.Diddy
Most Definitely my brother, hiyo ngoma yuko na Bus' nimeona video yake mara kadhaa, nilikuwa nimeisahau kabisa.Msikilize na mcheki humo yupo na BUSTA, ngoma inaitwa *If you dont know"...
https://vimeo.com/5218363
Kuna ngoma nyingine yupo na Too $hort, inaitwa "This is how we Eat" something like that, itafute Youtube nadhan itakuwepo, Tig yupo verse ya mwisho kabisa...ni ngoma ya kitambo kidogo (kwenye 2000-2001 hivi)..
Mainstream rap ni ya watumwa siku zote, hawana uhuru wa kufikiri wala kuthubutu. Wanaojitambua na kujaribu kufikiri, wanafungiwa milango.Guru na Dj Premier ni pioneers of hardcore hip hop..Kama NWA walivyokua pioners of Gangsta rap..Kundi la Gang Starr mara nyingi linasahaulika on the mainstream labda sababu walikua very konshas..
Nakumbuka GTA 3.liberty stories..kuna nigga alikua anaitwa 8-ball alikua voiced by Guru.
RIP