Big up dada Jide!

Big up dada Jide!

SirBonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2010
Posts
378
Reaction score
435
Kutoka ndani ya moyo wangu, nampongeza sana mwanamama huyu kwa juhudi zake anazozionyesha na hatimaye kupata mafanikio makubwa sana kwa kupitia fani ya muziki wa kizazi kipya! Nadhani tunaweza kumpa namba moja kati ya wanamuziki matajiri tanzania!
Hii iadhihirisha kwamba ukiwa determined unafanikiwa na ni mfano wa kuigwa kwa wanamuziki wengine, sio kukaa tu na kulalamika kila siku....fanyeni kazi na muwe wabunifu!
Big up dada Jide!
 
Back
Top Bottom