Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Hongera zenu Gwambina kwa kuonyesha mchezo laukama nyie ni wageni kwenye league ukilinganisha na wale jamaa wa kuanua kinu kila wakipata mpira. Keep it up na mjitahidi mbakie kwenye league na mwakani mtakuwa timu nzuri zaidi.
Mpira ni matokeo.
Mpira ni matokeo.