Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Are you sure kuwa anauza?Mohamedi Makaka ni golikipa mzuri saana! Tatizo lake ni mzee wa kuuza mechi ..... sitasahau alichofanya mechi ya Singida na Stand, Mbao na Stand, Alliance na Stand ... timu yetu pendwa ikashuka atabaki kuwa wa hapahapa na uhodari wake woote hatachezea timu kubwa
Mkuu kuujadili uzushi ni kuuthibitisha!!Are you sure kuwa anauza?
Au huwa na mapungufu madogo madogo yanayoigharimu timu?
Are you sure kuwa anauza?
Au huwa na mapungufu madogo madogo yanayoigharimu timu?
Are you sure kuwa anauza?
Au huwa na mapungufu madogo madogo yanayoigharimu timu?