Big up Hemedy, haya ndo mambo tunayoyataka kwa waTZ

qn of sheba we ni noumaaaah, duh yan almost kila mtu unamjua, yaani mi kila siku napata hamu ya kukujua, aiseeee!!We hatareee

Lmao! unajua enzi za ujana nilikuwa mdau mkubwa wa magazeti ya udaku Kasheshe,Maisha,Sani,Komesha nilukuwa sipitwi hasa ukisoma boarding unakuwa na hamu ya kujua mengi kipindi cha likizo. Sikuiz nimestaafu haya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…