Big Up Kanumba!!!

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
5,353
Reaction score
1,234
Nachukua nafasi hii kumpongeza bwana Stephen Kanumba kwa juhudi zake za kukuza Bongo movies (Hata JK aliwapa Big Up). Pamoja na mafanikio makubwa aliyopata hapan nchini, Kanumba hajaridhika na kubweteka, na sasa kwa mara nyingine ame- team up na Ramsey wa Nigeria kwa ajili ya movie nyingine ambayo itachezwa hapa hapa Bongo!

Nampa big up Kanumba. Tuungane kumpa moyo aende mbali zaidi. Tuachane na zile tabia za wabongo kusubiri mtu ateleze ndio iwe topic, kwenye TV, magazeti ya udaki na hata kwenye maredio! Utasikia mara ooh Kanumba hajui kiingereza....... lakini mtu huyo huyo akifanya mazuri hakuwa anayeona na kumpa sifa anazostahili!

wana JF, mpeni Kanumba big up!
 
ana uchu wa maendeleo! mpaka kieleweke na tz ijulikane kwa mazur pia! c ufisadi tu na uchakahuaji! bravoo brother wer together
 
Dah nikikumbuka juhudi zake huwa naumia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…