Bantugbro JF-Expert Member Joined Feb 22, 2009 Posts 4,473 Reaction score 4,252 Jul 23, 2010 #1 Nimesikia huu wimbo wa 'AS we enter' mkulu Nas ameshirikiana na Damian mtoto wa Malya, jamaa wameamua kuweka maneno mawili matatu ya Kiswahili kwakweli inapendeza angalia linki hapo chini... NAS LYRICS - As We Enter Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Nimesikia huu wimbo wa 'AS we enter' mkulu Nas ameshirikiana na Damian mtoto wa Malya, jamaa wameamua kuweka maneno mawili matatu ya Kiswahili kwakweli inapendeza angalia linki hapo chini... NAS LYRICS - As We Enter
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,897 Reaction score 10,213 Jul 24, 2010 #2 Habari gani,muzuri sana