Big up Richard wa BBA 2007

wajojo

Senior Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
155
Reaction score
83
Katika pita pita yangu on you tube i found one of the nigerian movie, can nt recall the name and was shocked kumuona richard wa bba 2007 in the movie akishirikiana na na mastaa wa nollywood kama inni edo,jack appiah na uche jombo.the movie iko poa big up kaka...
 
Perhaps tutapata mtu wa kucover pengo kubwa lililoachwa na Kanumba. So tumuombee
 
yule aliyeonyesha utupu waziwazi kwenye m-net?
 
hiyo movie sauti katumia ya nani?kama sauti ileile yake ya kawaida siku zote mmh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…