Biggest female artists of the century according to Billboard

Biggest female artists of the century according to Billboard

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
14,834
Reaction score
32,522
#1 Taylor Swift
#2 Rihanna
#3 Beyoncé
#4 Adele
#5 Katy Perry
#6 Lady Gaga
#7 P!nk
#8 Ariana Grande
#9 Miley Cyrus
#10 Alicia Keys
#11 Kelly Clarkson
#12 Mariah Carey
#13 Carrie Underwood
#14 Britney Spears
#15 Billie Eilish
#16 Nicki Minaj
#17 Destiny's Child
#18 SZA
#19 Avril Lavigne
#20 Christina Aguilera

My take: Taylor alizaliwa ili aimbe na kazi hii anaifanya kwa ufanisi mkubwa sana!

Overall ranking

IMG_1546.jpeg

IMG_1545.jpeg
 
Sijajua hii orodha inazingatia nini, wakongwe kina mariah carey, lady gaga, nick minaji wako chini wamepitwa na watoto wadogo walioibuka juzujuzi kina taylor swift
 
Kwahiyo post malone amemzidi CB au sio?
 
Kina celine dion, whitney houston, mary j. blige, kelly price, samatha mumba, chaka khan, aretha franklin, da brat, queen latifah, brandy, monica, miss elliot, aaliyah, janeth jackson, madonna, judy bucher, diana king, diana ross, faith evans, left eye, na wengine wengi waliotamba hawapo kwenye orodha
 
AJabu ni pale sijui hata hit song moja ya Taylor
Mi huyo ndo muimbaji nayemuelewa kuliko wote akifuatiwa na Eminem, ngoja nikutajie Hit song kadhaa za Taylor swift ukazisikilize,....

Taylor swift - August
Taylor swift - welcome to new york
Taylor swift - Fortnight
Taylor swift - Willow
Taylor swift - you are on your own kid
Taylor swift - You are losing me
Taylor swift - Delicate
Taylor swift - Snow at the beach
Taylor swift - exile

Kasikilize vibao hata viwili tu kutoka kwenye hiyo List niliyokuandikia baada ya hapo utakubaliana na mimi kwamba huyo ndo muimbaji bora wa karne na kwa upande wangu nakubaliana na Yeye kuwa wa kwanza

Kwenye Music folder yangu nina nyimbo zake zaidi ya 30+ namkubali vibaya sana haipiti siku bila kumsikiliza Kiufupi ni fundi wa karne... Billboard wametenda haki kumpa taji hilo.
 
The list is rigged...no Miss Elliot wal MJ? Wala Busta wal Jay Z?
 
#1 Taylor Swift
#2 Rihanna
#3 Beyoncé
#4 Adele
#5 Katy Perry
#6 Lady Gaga
#7 P!nk
#8 Ariana Grande
#9 Miley Cyrus
#10 Alicia Keys
#11 Kelly Clarkson
#12 Mariah Carey
#13 Carrie Underwood
#14 Britney Spears
#15 Billie Eilish
#16 Nicki Minaj
#17 Destiny's Child
#18 SZA
#19 Avril Lavigne
#20 Christina Aguilera

My take: Taylor alizaliwa ili aimbe na kazi hii anaifanya kwa ufanisi mkubwa sana!

Overall ranking

View attachment 3196297

View attachment 3196298
BIASED! mbona JZ na jamaa wa mafuta P Diddy (Sean Combs) hawapo?
 
Mi ningekuwa msimamizi wa billboard ningemuweka Adele wa kwanza.
Halafu mbona Alan Walker simuoni hapo au kwakuwa yeye sio mwanamziki?
 
Mi ningekuwa msimamizi wa billboard ningemuweka Adele wa kwanza.
Halafu mbona Alan Walker simuoni hapo au kwakuwa yeye sio mwanamziki?

Madj hao hawaimbi, sawa tu na Kygo, David Guetta na wengineo
 
Mi huyo ndo muimbaji nayemuelewa kuliko wote akifuatiwa na Eminem, ngoja nikutajie Hit song kadhaa za Taylor swift ukazisikilize,....

Taylor swift - August
Taylor swift - welcome to new york
Taylor swift - Fortnight
Taylor swift - Willow
Taylor swift - you are on your own kid
Taylor swift - You are losing me
Taylor swift - Delicate
Taylor swift - Snow at the beach
Taylor swift - exile

Kasikilize vibao hata viwili tu kutoka kwenye hiyo List niliyokuandikia baada ya hapo utakubaliana na mimi kwamba huyo ndo muimbaji bora wa karne na kwa upande wangu nakubaliana na Yeye kuwa wa kwanza

Kwenye Music folder yangu nina nyimbo zake zaidi ya 30+ namkubali vibaya sana haipiti siku bila kumsikiliza Kiufupi ni fundi wa karne... Billboard wametenda haki kumpa taji hilo.

Hiyo August aliimba sana
 
Back
Top Bottom