Ukiona hvyo ujue ….sio mambo yakoAJabu ni pale sijui hata hit song moja ya Taylor
Mi huyo ndo muimbaji nayemuelewa kuliko wote akifuatiwa na Eminem, ngoja nikutajie Hit song kadhaa za Taylor swift ukazisikilize,....AJabu ni pale sijui hata hit song moja ya Taylor
Anastahili Taylor swift ni muimbaji bora wa karne hii nakubaliana na Billboard nina nyimbo zake zaidi ya 30+ huyu mdada anajua kuimba na kucheza pia.Rihanna ndio namba moja huyo wa kwanza hapo sio kweli
BIASED! mbona JZ na jamaa wa mafuta P Diddy (Sean Combs) hawapo?#1 Taylor Swift
#2 Rihanna
#3 Beyoncé
#4 Adele
#5 Katy Perry
#6 Lady Gaga
#7 P!nk
#8 Ariana Grande
#9 Miley Cyrus
#10 Alicia Keys
#11 Kelly Clarkson
#12 Mariah Carey
#13 Carrie Underwood
#14 Britney Spears
#15 Billie Eilish
#16 Nicki Minaj
#17 Destiny's Child
#18 SZA
#19 Avril Lavigne
#20 Christina Aguilera
My take: Taylor alizaliwa ili aimbe na kazi hii anaifanya kwa ufanisi mkubwa sana!
Overall ranking
View attachment 3196297
View attachment 3196298
Mi huyo ndo muimbaji nayemuelewa kuliko wote akifuatiwa na Eminem, ngoja nikutajie Hit song kadhaa za Taylor swift ukazisikilize,....
Taylor swift - August
Taylor swift - welcome to new york
Taylor swift - Fortnight
Taylor swift - Willow
Taylor swift - you are on your own kid
Taylor swift - You are losing me
Taylor swift - Delicate
Taylor swift - Snow at the beach
Taylor swift - exile
Kasikilize vibao hata viwili tu kutoka kwenye hiyo List niliyokuandikia baada ya hapo utakubaliana na mimi kwamba huyo ndo muimbaji bora wa karne na kwa upande wangu nakubaliana na Yeye kuwa wa kwanza
Kwenye Music folder yangu nina nyimbo zake zaidi ya 30+ namkubali vibaya sana haipiti siku bila kumsikiliza Kiufupi ni fundi wa karne... Billboard wametenda haki kumpa taji hilo.
Mwaka 2000.Hivi 21st century inaanzia mwaka gani?